siku chache baada ya msanii Roma Mkatoliki kudundosha jimbo ya mpya haya ndio aliyoyasema kuhusu nyimbo yake kutaka kufungiwaa.
"WANATAKA KUIFUNGIA NYIMBO YANGU!! KISA TU NIMEONGEA UKWELI!! INANIUMA
SANA NATAMANI HATA KULIA NIKIONA UKWELI HAUPEWI NAFASI!! NIOMBEENI NA
MNIKUMBUKE KWENYE SALA ZENU NDUGU ZANGU!! Viva Roma viva”.
na akisema kuwa sababu za kutaka kufungiwa kwa nyimbo hiyo hajaziona.
sikiliza ngoma yake hapa chini.