na katika kipindi cha Pili Wayne rooney aliifungia Manchester United goli la pili katika dakika ya 46. ikiwa ni goli lake la tano katika msimu huu.
Na Hivyo kuifanya timu yake kupanda juu ya Manchester City wakiongoza kwa point 16, baada ya Manchester city kupoteza mchezo dhidi ya Tottenham.
Liverpool 3 - 2 Aston Villa
Leicester 2 - 5 Arsenal
Southampton 3 - 1 Swansea
West Ham 2 - 2 Norwich