Perez akiifungia Newcastle goli la kwanza katika dakika ya 42 ya kipindi cha kwanza.
Newcastle ilitangulia mbele kwa goli moja, katika kipindi cha kwanza lililofungwa na Perez katika dakika ya 42 na na goli la pili likifungwa na Wijnaldum katika dakika ya 60 katika kipindi cha pili.
'
Lakini magoli hayo yalisawazishwa na Chelsea kupitia mchezaji wao Ramire katika dakika ya 79, huku Willian akishinda katika dakika ya 86.
Mchezo ulikwishwa huku timu zote mbili ziki toka sare ya mabao 2 - 2, na hivyo Chelsea sasa wamepanda katika nafasi ya 15 huku Newcastle wakiwa wapili kutoka mwisho wakiwa nafasi ya 19.