Sunday, 28 August 2016
New Video: Dogo Janja - 'Kidebe'
Mkali wa ngoma ya My Life" Dogo Janjaro anakuletea ngoma nyingine Mpya kwako inajulikana kama ''Kidebe''. video ikifanywa tena na Hanscana director wa Bongo chini ya producer Maco Chali.
All about News, entertainment, Music en Videos, Sports & Gossip,