Tuesday, 5 July 2016

Video: Linah - 'Imani'

Linah anaimani na wewe ndio maana amekudondoshea video ya wimbo wake mpya "IMAN" kwa ajili yako wewe shabiki wake wa pekee. video ikiwa imeandaliwa chini ya Joowzey.
Itazame hapa chini.