Friday, 29 July 2016
Video: Nikki wa Pili feat. Chin Bees - 'Sweety Mangi'
Sweety Mangi ni single yake mpya Nikki wa Pili kutoka kundi la WEUSI, ngoma hiyo amemshirikisha Chin Bees. Ni mda tu kiogo umepita tangu wasanii hawa wawili wafanye remix kwenye ngoma ya G Nako, Arosto.
Sweety bees anakudondoshea Nikki wa pili hapa chini itazame..