Jaguar kutoka Kenya sasa amedondoka South Afrika na Kufanya Collabo ya maana na kundi la Mafikizolo na kuachia video yao mpya "going no where".
Itazame hapa chini na tupia comment zako kupitia facebook.
All about News, entertainment, Music en Videos, Sports & Gossip,