Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imewafikisha kizimbani Wabunge 3 walio katika kamati za bunge katika Mahakama ya Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za rushwa.
Watuhumiwa hao.ambao ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mh.Victor
Mwambalaswa Mbunge wa Lupa, Sadiq Murad Mbunge wa Mvomero na Kangi
Lugola Mbunge wa Mwibara, wanashtumiwa kwa kosa la Kuomba rushwa ya sh. 30 Milioni