Tuesday, 16 February 2016

New Video: Mirror & Baraka Da Prince - 'Naogopa'

"Naogopa" nyimbo mpya iliyo andaliwa na wasanii wa Bongo Falva, Mirror pamoja na Baraka Da Prince kwa pamoja wanakuletea video ya wimbo huo.
Tazama video hiyo hapa chini.