Ni baada ys Wayne Rooney kufunga goli moja katika dakika za mwisho za mchezo wao wakiwa nyumbani kwa Liverpool(katika uwanja wa Unfield), ni hivyo kuiletea timu yake ushindi dhidi ya wapinzani wao.
rooney alishinda goli hilo katika dakika ya 78 ya kipindi cha pili cha mchezo huo, wakati huo mashabiki wa Man U, walikua wamekosa matumaini yakupata ushindi Unfield.
Ushindi huu dhidi ya Liverpool unaifanya ,Man U kujiweka kaitka nafasi nzuri ya msimamo wa ligi ya Uingereza, Premier League