Katika Mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza Primier League mchezo uliochezwa kati ya Everton na Mancherster City, Man City wakiwa nyumbani kwa Evertton wamepokea kipigo cha mabao 2 - 1.
Magoli ya Everton yalifungwa na Funes Mori dakika ya 45 na Lukaku dakika 78, huku goli la Man City likifungwa kupitia Jesus Navas katika dakika 76 ya mchezo huo.