Ali Kiba pamoja na Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya wameanza rasmi kushoot video yao mpya ya Collabo huko mjini Mombasa, Kenya Chini ya Uongozi wa Kampuni ya Gorilla Films inayosimamiwa na Justine Cumpos.
Saturday, 30 January 2016
Ali Kiba na Sauti Solo kuanza kushoot Video Mombasa