Kid Ink anaachia video yake "Bunny Ranch" ikiwa ni moja ya Track iliyoko katika A;lbum yake ya Summer in the Winter .
Track 11 za Album yake aliodondosha siku ya Christmass zimejumuisha wasanii kama Akon, Omarion,Bia na Fetty Wap.
Tazama video hiyo hapa.