Pistorius alimuua mchumba wake hapo Reeva Steenkamp hapo February Mwaka 2013 baada ya kumpiga risasi mara nne kupitia mlango wa chooni uliokua umefungwa.
Kwasasa yuko chini ya Ulinzi katika nyumba yake baada ya kutumikia kifungoi chake chas mwaka mmoja kati ya ile mitano halisi akiwa jela.
Na sasa Pistorius atatakiwa kurudi tena mahakamani kwa ajili ya hukumu ya maranyingine. ya mauaji.
Pata taarifa zaidi kuhusu kesi inayomwandama mwanariadha huyu >>>Oscar Pistorius
Pata taarifa zaidi kuhusu kesi inayomwandama mwanariadha huyu >>>Oscar Pistorius