Jeremih akiwa na album yake Late ANight ambayo inazidi kuachia ngoima kali kama Pass Dat, Royality na Oui sasa amekuja na ngoma nyingine mpya "Impatient" akiwa ameshirikiana na Ty Dolla Sign.
Isikilize ngoma hiyo hapa chini.
All about News, entertainment, Music en Videos, Sports & Gossip,