Tuesday, 3 November 2015

Video: Run Town - 'Walahi'

Run Town ameachia single yake mpya ya "Walahi". Vidoe hii imetengenezwa huko southafrica.
msanii huyu anatarajia kudondosha album yake mpya ya Ghetto University hapo Nov.22.
Tizama video hiyo hapa chini.