Mwanamziki Kyela akishirikina na Barnaba wanakuletea nyimbo inayokwenda kwa jina la Msebo Msebo.
Kyela alitua katika studio za High tableSound inayomilikiwa na Barnaba na kurekodi nyimbo hiyo akishirikiana nae.
Sikiliza ngoma hiyo hapa chini.
All about News, entertainment, Music en Videos, Sports & Gossip,