Mabeste hivi sasa ameamua kutoa video yake mpya ya wimbo wa 'Usiwe Bubu' baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu. Katika Video hiyo Mabeste amaamua kumtumia mpenzi wake kama video qeen katika nyimbo hiyo.
Tazama video hiyo hapa chini.
All about News, entertainment, Music en Videos, Sports & Gossip,