Rappa 2 Chainz amekua busy kipindi hiki, baada ya siku chache tu kudondosha nyimbo yake ya King of Everything, sasa ameangusha video nyingine ya A Mill Bill Trill akimshirikisha Wiz Khalifa.
Tazama Video hapa chini
All about News, entertainment, Music en Videos, Sports & Gossip,