Lakini hivi sasa amepost video ya mwanae Nicole Dean akicheza ngoma mpya ya Dimond - "nana", na kuonyesha ni jinsi gani alivyoifurahia.producer huyu hivi karibuni amekua akivutiwa sana na nyimbo za msanii huyu.
Hivi ndivyo alivyo post video hiyo
All about News, entertainment, Music en Videos, Sports & Gossip,