Thursday, 3 September 2015

New Video; Banky W - 'High Notes'


 Banky W sasa amekuja na video yake mpya ya wimbo wa 'High Notes'
huku akiwa amewashirikisha wasanii wengine katika video hiyo kama vile cameos na wengineo.
Itazame ngoma hiyo hapa chini.