msanii huyu aliandika katika account yake ya twitter akisema
I have been dreaming of this moment for a long long time.
— SAM SMITH (@samsmithworld) September 25, 2015
James Bond atakuwa msanii wa kwanza kutoka British kutengeneza theme song ya movie hiyo tangu 1965.sikiliza wimbo huu wa Smith hapo chini
Sam Smith - Writing On the Wall