kwa mara ya kwanza tena Janet Jackson amefanya collabo na Missy Elliott katika wimbo wa "Burn it up". Janet Jackson pia anatarajiwa kudondosha album yake mpya ya Unbreacable hapo Oct.2
Isikilize ngoma hiyo hapo chini.
All about News, entertainment, Music en Videos, Sports & Gossip,