All about News, entertainment, Music en Videos, Sports & Gossip,
You are here : Home
/ BURUDANI
/ VIDEO; Linah - 'No Stress'
Sunday, 2 August 2015
VIDEO; Linah - 'No Stress'
Baada ya Linah kufanya video yake ya Olethemba huko South Africa, sasa amekuja na video ya wimbo wa No Stress ambayo nayo ameifanyia huko S.Africa chini ya GODFUTHER. Ikiwa ni video yake ya pili kufanyia nchini humo. bofya hapo chini kusikiliza nyimbo hiyo