Sunday, 2 August 2015

Video - The Game and Drake - '100'

The Game sasa ametoa video ya wimbo aliotoa hivi karibuni '100', video hiyo amefanya na Drake, wimbo huu ni single yake ya pili katika documentary yake ya 2. nyimbo ya kwanza ikiwa ni Ryda aliyoimba na DeJ Loaf.
 
                                              tazama video hiyo hapo chini
                                           The Game ft Drake - '100'