Thursday, 13 August 2015
ROCKSTAR4000 WATANGAZA COLLARBO MPYA YA ALI KIBA NA NEYO
ROCKSTAR4000 inayofanya kazi pamoja na Ali Kiba imetangaza kupitia facebook na instagram juu ya collarbo mpya itakayo kwenda kufanywa na Ali Kiba na msanii wa Marekani NE-YO.