Alisema kuwa sio kwamba anafanya utani ila ni kweli hatokuwa na ugomvi na rapa huyo.
Rapa huyo ambae alimdis Drake kwakuwa haandiki mistari yake mwenye alisema kuwa anajuta ni kwanini alitengeneza ugomvi huo.
Na hivi ndivyo alivyosema;

Pia aliandika ;
“It won’t bring me no money or success,” . “Ima take blame for it even tho ‘I can stand’ anything I do or say and niggaz know…”
Mick Mill ambaye alidondosha nyimbo ya "I wanna Know' baada ya drake kuachia "Charged Up"
Nyimbo huyo ya Mick Mill haipo tena katika #Sound Cloud