wanamuziki hawa waliamua kushare post yao katika Album cover ya wimbo wa Wiz kid , Ojuelegba, katika akaunti ya instagramkikiwa na hashtag ya#vibes wakimtaja Wizkidayo.
Alicia Keys alishare post yake akiwa anaucheza wimbo huo katika mtandao wa instagram.
Ikumbukwe kuwa msanii huyu wizkid katika nyimbo hii alifanya collabo na Drake na Skepta ikiwa ni remix ya wimbo huo.
tazama video ya Wiz kid hapo chini