All about News, entertainment, Music en Videos, Sports & Gossip,
You are here : Home
/ BURUDANI
/ VIDEO; TREY SONGZ - 'ABOUT YOU'
Monday, 13 July 2015
VIDEO; TREY SONGZ - 'ABOUT YOU'
siku chache zilizopita Trey songz aliachia nyimbo yake kabla ya kupanda kwenye stage mjini Miami video hiyo inajulikana kama 'about you'. na hii ni nyimbo yake y mwisho kuiachia katika album yake ya Trigga Reloaded. hii ni album yake ya saba kuachia.
Trey Songz - About You icheki nyimbo yako hapa. kwa kubonyeza hapo kati na uburudike.