All about News, entertainment, Music en Videos, Sports & Gossip,
You are here : Home
/ BURUDANI
/ Video; Diclosure ft Sam Smith - 'Omen'
Tuesday, 28 July 2015
Video; Diclosure ft Sam Smith - 'Omen'
Diclosure na Sam Smith sasa wameungana tena na kutoa video mpya ya Omen, hii simara ya kwanza wanafanya collabo hii, Pia Diclosure alishafanya na Smith mwaka 2012 katika wimbo wa Latch na sasa wameungana tena, video hii imetengenezwa chini ya director Ryan Holder bofya haspo chini kuplay wimbo huo