You are here :
Home
/
BURUDANI
/
TERMINATOR GENISYS YAUZA MPAKA $10.8 MILL. IJUMAA
TERMINATOR GENISYS YAUZA MPAKA $10.8 MILL. IJUMAA
Report kutoka Box Office zinasema Muvi mpya ya Terminator Genisys iliyofanywa na actor Maarufu kwa jina la Arnold Schwarzenegger muvi hiyo ikiwa ni mwendelezo wa terminator zilizopita imefanya vizuri katika soko baada ya kuuza mpaka $10.8 mill. na kufikia kiasi cha $26.5 mill.
 |
Arnold schwarnezegger |
 |
Terminator Genisys |