Snoop alikamatwa na kutolewa nje ya gari baada ya kutoka kwenye tamasha siku ya jumamosi, na polisi. Polisi walipohojiwa walisema kuwa walimkamata rapa huyo wakidhani alikuwa akiendesha gari akiwa ametumia dawa za kulevya.
Baada ya hapo Snoop alikataa kuja tena nchini humo, na kuwaambia mashabiki wake wa nchi hiyo wawalaumu mapolisi wao kwa kumkata na kumfanyia kitendo cha kibaguzi.
alipost kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram akisema: