Washiriki zaidi ya 30 wa Col Gaddafi walijaribu kukandamiza ama kulazimisha maandamano ya aman wakati wa mapinduzi yaliyoibuka kipindi hicho.
Saif al-Islam hakuonekana Mahakamani na akatoa uthibitisho/ushahidi wake kupitia Video
![]() |
Saif al-Islam Gaddafi |
kwasasa anashikiliwa na kundi la Waasi kutoka mji wa Zintan ambalo limekataa kumwachilia.
Aliyekuwa kiongozi wa Habari nchini Libya katika Uongozi wa Gaddafi, Abdullah al-Sennusi pia ni mmoja wa wale ambao wanakwenda kukabiliana na hukumu hiyo ya Kifo kwa kupigwa risasi, akiwa alikuwa kama Mbunge wa Baghdadi al-Mahmoudi.
ia Saif al-Islam anatafutwa na Makama ya kiataifa kwa tuhuma dhidi ya Uhalifu wa Kivita na Uhalifu dhidi ya ubinadamu.