katika kupiga kura hizo waliokuwa wakigombania nafasi hiyo walikuwa ni;
john pombe maghufuli,
amina salim all na
asharose migiro.
katika uchaguzi huo kura zilizo pigwa zilikuwa 2,422
kura zilizo haribika - 6
kura halali - 2416.
katika kura hizo
Asharose migiro - 59 sawa na 2.4%
Amina Salim All - 253 sawa na 10.5%
John Magufuli - 2104 sawa na 87.1%
ndipo Magufuli akatangazwa rasmi kuwa ndie mgombea atakakwenda kuipeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
![]() |
kulia ndie Samea suluhu Hassan |