 |
Mrisho Mpoto akinyanyua juu Tuzo yake
wimbo bora wenye vionjo vya lugha ya kiswahili |
Hivi ndivyo tuzo za KTMA zilivyo tamba. na hizi ni baadhi ya picha zilizoonekana siku ya tuzo za KTMA
na jinsi zilivyo tamba kuanzia kwenye red carpet mpaka ndani ya ukumbi. Ali Kiba alitamba katika tuzo hizo, na tuzo 34 zilitolewa kwa wasanii walioshinda.
 |
Pro J. kwenye red carpet |
 |
shaa akipokea tuzo kwa niaba ya Dimond platnumz |
 |
ndugu wa karibu akipokea tuzo ya tano ya Ally Kiba |
 |
Ommy Dimpozi kwenye kapet akihojiwa. |
 |
Joh Makini baada ya kupokea tuzo yake. Kama mtunzi bora we nyimbo za Hip Hop |