![]() |
PROFESA LIPUMBA AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI |
Lipumba akihojiwa na vyombo vya habari alisema atakwenda kuwaambiaq wananchi wake ni kwanini anakwenda kuwania nafasi hiyo .
Mkurugenzi wa mpango na uchaguzi Shaweji Mketo wa chama cha CUF alisema, katika chama chake watakua na vikao vya baraza kuu la chama julai 11-13 na itakaua ndio mara ya tano kufanya vikao hivyo. mkutano huo utakwenda kuoinyeshwa kupitia runinga. Pia aliwaomba wananchi na wanachama waende kumsikiliza nikwanini ameamua kuwania nafasi hiyo ya Urais.